📘 قراءة كتاب Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki أونلاين
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, aliyesema:
{Na kwa
hak
ika hii ndiyo Njia yangu Iliyonyooka.
Basi ifuateni, wala msifuate njia
nyingine,
zikakutengeni na Njia yake...
}
. [Sura [6] Al
-An‘aam 153].
Na
Rehema na
amani ziwe juu ya Mtume
wake wa mwisho
, aliyesema:
"Kwa hakika Bani Israeli waligawanyika makundi
sabini na moja, na
umma wangu utagawanyika makundi sabini na tatu. Makundi yote
yataingia motoni ispokuwa kundi moja." Akaulizwa: Ewe Mjumbe wa
Allah, ni kundi gani hilo? Mtume
(S.
A.W.
) akasema: Hilo ndi
lo kundi
am
balo
nimo mimi na Maswahaba
zangu
leo hii".
(
0F
1)
Ama baada ya haya:
Kwa hakika Allah
- kwa matakwa yake –
ametaka
Waislam
u
wagawanyike na kuwa makundi na madhehebu mbalimbali, wakifanyiana
uadui na vitimbi wao kwa wao, kwa kufanya hivyo wanakhalifu amri ya
Allah ya kurejesha tofauti zao katika kitabu cha Allah na Sunna za
Mtume
wake,
Rehema na
amani ziwe juu yake,
pale Allah
aliposema:
{...Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi
Mungu na
Mtume
, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na
Siku ya Mwisho. Hayo
ndiyo bora zai
di na ndiyo yenye mwisho mwema.}
[Sura [4] An-
Nisa’59].
Na kwa sababu hii, imewajibika kwa kila mw
enye kuunasihi umma
wake, mpenda umoja na kuungana
, ajitahidi
kwa kadri ya uwezo wake
kuunganisha umma "katika haki", na kuurejesha kama ulivyokuwa hapo
zamani (kiitikadi, kisheria na kitabia), ili
kufuata kauli ya Allah Mtukufu:
{Na shikamaneni kwa Kamba
ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala
msifarikiane...
}.
[Sura [3] Aal
-‘Imran 103].
Miongoni mwa sababu muhimu
zinazoharakisha jambo hili ni:
Kuwapa mwangaza watu wa makundi yanayokhalifu wito wa Kitabu na
Sunna, hasa katika yale wan
ayoyakosea,
kuya
kengeuka na ku
wa
wekea
kizuizi kati yao na uongofu
wa
kushikamana na jamaa ya Waislamu.
Na kutokana na hilo, imeibuka fikra ya kukusanya hoja na maswali
haya
yanayoelekezw
a kwa
vijana wa kundi la Shia
Ithnasheria
. Huenda
yakachangia kuwarejesha katika haki wale weny
e akili m
iongoni mwao,
kama watazitafakari
hoja na maswali haya, ambayo hayana upenyo wa
kuyakwepa
na kuj
itakasa nayo ila kwa kukubali w
ito
wa
kushikamana na
Kitabu na Sunna vi
sivyokuwa na kupingana
.
1
Sahihi Al
-Tirmidhiyyu ya Albani (2129). Pia tazama maelezo juu ya hadithi hii kiriwaya na kidiraya
katika risala ya Sheikh Sulaim Al
-Hilaaliyyu "Dar`u al
-irtibaabi an hadiith maa anaa alayhi wal
-
asw`haabu" Kuondoa shaka juu
ya hadithi –
(..ambalo nimo mimi na Maswahaba zangu kwa sasa).
3
Kwa hakika yamenipendeza mno yale aliyoyafanya mmoja wa
ndugu wa Kishia aliyeongoka na kuingia
katika
haki
(2)
pale alipoeleza juu
ya uzoefu alioupata kwa kuhama kutoka katika Upotevu kwenda katika
uongofu,
katika
kitabu alichokichagulia jina mwafaka nalo ni:
"Nimefaidika
na
Maswahaba..
Wala
sijahasirika
na
Aa
li Al-
baiti"!
Kwa hakika
amewafikis
hwa
– Mola
amthibitishe
– katika uchaguzi
huu. Kwa sababu Muislamu wa kweli haoni
tabu
kukusanya baina ya
mapenzi ya Aali Al
-baiti na
Maswahaba
– Mola
awaw
ie radhi wote.
Na huyu ndugu, kwa jambo lake hilo,
ananikumbusha
yule
Mnasara aliyesilimu,
na kutunga kitabu kwa anuani: "
Nimefaidika
Muhammad.. wal
a sijahasirika na Issa"
Amani iwe juu yao.
Baada ya haya, napenda ijulikane kuwa mimi nimechagua aghlabu
ya mswali na hoja hizi kutoka katika majukwaa ya wavuti
– na hasa
hasa
jukwaa la kuihami Sunna.
Kisha
nikaongezea kias
i kikubwa cha hoja
nilizozisoma
katika vitabu vilivyozungumzia Mashia. Ki
sha
nikazirekebisha na kuz
iweka pamoja kwa mtindo mmoja.
Na
mi sina
lolote katika kazi hii zaidi ya kuikusanya na kuirekebisha,
Huk
u
namuomba Allah awanufaishe kwa kazi hii wale watakaoafikiwa
miongoni mwa vijana wa Kishia, na aijalie iwe funguo ya heri kwao, na
mwisho nawakumbusha kuwa: kurejea katika haki ni bora kuliko
kung`ang`ania batili. Na kwa hakika mtu mmoja miongoni mwa Mashia
akishikamana na Sunna
, kuzifurahia na kuzinusuru, huenda akawazidi
kimalipo na cheo maelfu ya Wasunni wanaofuata batili, wanaokengeuka
na
kui
acha
dini
yao, wana
opumbazika katika matamanio ya nafsi, au
waliotumbukia katika shubuhati (utata wa kupoteza), Na Allah anasema:
(Anaye
kufuru basi ukafiri wake utakuwa juu yake mwenyewe, na
anayetenda mema, basi wanazitengezea nafsi zao)
. [Sura [30] Ar-
Rum
44].
Allah ndio mjuzi.
Rehema na
amani ziwe kwa Mtume
wetu
Muhammad,
Aali
zake
na
Maswahaba
zake.
Imeandikwa na / Abuu Musw
-aabi .
سنة النشر : 2006م / 1427هـ .
حجم الكتاب عند التحميل : 453.8 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة:
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني و يمكنك تحميله من هنا:
شكرًا لمساهمتكم
شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:
قبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'