❞ كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU ❝  ⏤ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

❞ كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ⏤ Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Sifa Ya Kuwepo Kwake Juu 'Al-
Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Sifa Ya Kushuka, Sifa Ya Iraada

(Atakavyo Allah), Sifa Ya Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono,
Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Ya Allah,
Makhalifa Waongofu, Siku Ya Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na
Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Ya Kaburini, Adhabu Ya
Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Allah, Baadhi Ya Faida,
Matunda Ya Kuamini Malaika, Matunda Ya Kuviamini Vitabu,
Matunda Ya Kuamini Mitume, Matunda Ya Kuiamini Siku Ya,
Qiyama, Matunda Ya Kuamini Qadar.

UTANGULIZI

Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho
mwema nikwawamchao Allah, na hapana uadui isipokuwa kwa
madhalimu.
Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa
Allah Peke yake Asiye na mshirika Mwenye Ufalme na haki
iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (s.a.w) ni mjumbe
wake na Mtume wake nawa mwisho wa wajumbe wake na ni
kiongozi wa wacha Mungu. Mola wetu mswalie na msalimie
Mtume wako huyu pamoja na Masahaba wake na kila
atakayemfuata kwa wema na uongofu mpaka Siku ya Qiyama.
Amma baad.

Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ HIJABU ❝ ❞ HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ❞ HUKUMU ZA TWAHARA ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
HII NDIYO ITIKADI YETU

Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Sifa Ya Kuwepo Kwake Juu 'Al-
Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Sifa Ya Kushuka, Sifa Ya Iraada

(Atakavyo Allah), Sifa Ya Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono,
Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Ya Allah,
Makhalifa Waongofu, Siku Ya Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na
Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Ya Kaburini, Adhabu Ya
Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Allah, Baadhi Ya Faida,
Matunda Ya Kuamini Malaika, Matunda Ya Kuviamini Vitabu,
Matunda Ya Kuamini Mitume, Matunda Ya Kuiamini Siku Ya,
Qiyama, Matunda Ya Kuamini Qadar.

UTANGULIZI

Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho
mwema nikwawamchao Allah, na hapana uadui isipokuwa kwa
madhalimu.
Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa
Allah Peke yake Asiye na mshirika Mwenye Ufalme na haki
iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (s.a.w) ni mjumbe
wake na Mtume wake nawa mwisho wa wajumbe wake na ni
kiongozi wa wacha Mungu. Mola wetu mswalie na msalimie
Mtume wako huyu pamoja na Masahaba wake na kila
atakayemfuata kwa wema na uongofu mpaka Siku ya Qiyama.
Amma baad.

Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu. .
المزيد..

تعليقات القرّاء:

Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Sifa Ya Kuwepo Kwake Juu 'Al-
Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Sifa Ya Kushuka, Sifa Ya Iraada

(Atakavyo Allah), Sifa Ya Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono,
Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Ya Allah,
Makhalifa Waongofu, Siku Ya Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na
Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Ya Kaburini, Adhabu Ya
Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Allah, Baadhi Ya Faida,
Matunda Ya Kuamini Malaika, Matunda Ya Kuviamini Vitabu,
Matunda Ya Kuamini Mitume, Matunda Ya Kuiamini Siku Ya,
Qiyama, Matunda Ya Kuamini Qadar.

UTANGULIZI

Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho
mwema nikwawamchao Allah, na hapana uadui isipokuwa kwa
madhalimu.
Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa
Allah Peke yake Asiye na mshirika Mwenye Ufalme na haki
iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (s.a.w) ni mjumbe
wake na Mtume wake nawa mwisho wa wajumbe wake na ni
kiongozi wa wacha Mungu. Mola wetu mswalie na msalimie
Mtume wako huyu pamoja na Masahaba wake na kila
atakayemfuata kwa wema na uongofu mpaka Siku ya Qiyama.
Amma baad.

Hakika Allah Amemtuma Mtume wake Muhammad (s.a.w) awe
dalili iliyo wazi juu ya waja wake, naawabainishie yale
aliyoteremshiwa katika Kitabu, na awe mfano mwema wa
kuigwa na walimwengu wote, na ili watu wapate kuwa na
muongozo mwema katika dini yao na dunia yao.
Ametumwa kutufundisha itikadi sahihi pamoja na hekima kwa
ajili ya kutengenea hali ya umati wake, na pia kuwaweka juu ya
njia safi na sahihi, ili watu wawe juu ya kitanga cheupe, mchana
wake sawa na usiku wake, na asiende kinyume na njia hiyo
isipokuwa mpotofu.
Wakaifuata njia hiyo Maswahaba wake (r.a) na wale waliokuja
baada yao na walio wafuatilia kwa wema, Wakaisimamisha
sharia ya Allah na kuyakamata vizuri mafundisho hayo kwa
magego yao kwa kuifuata itikadi hii iliyo sahihi, na ibada na
mwenendo na tabia. Na sisi Alhamdulillah tunaendelea kuufuata
mwenendo wao huo kwa kufuata dalili zilizomo ndani ya
Qur'ani na zilizomo ndani ya mafundisho yake (s.a.w), na
tunamuomba Allah Atuthibitishe juu ya njia hiyo sisi na ndugu
zetu wote wa Kiislamu kwa kauli iliyo thabiti katika maisha ya
duniani na ya Akhera na atumiminie rehma Zake kwani yeye ni
Mwenye kutoa kwa wingi.
Kutokana na umuhimu wa maudhui hii, na kutokana na tofauti
iliyokuja baadaye, baada ya kuingizwa matamanio ya watu
ndani ya itikadi hii, nilipenda kuiandika iwe kama ndiyo itikadi
yetu. Itikadi ya Ahlus Sunnah wal Jama’ah, nayo ni imani ya
kuwepo kwa Allah na Malaika Wake na vitabu Vyake na
Mitume wake na Siku ya Qiyama na Qadar (qudra) kheri yake
na shari yake.
Namuomba Allah Aijaalie kazi hii iwe halisi kwa ajili yake,
Aridhike nayo na iwe funzo kwa waja Wake.

 Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.

حجم الكتاب عند التحميل : 718.8 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة HII NDIYO ITIKADI YETU

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل HII NDIYO ITIKADI YETU
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen - SHAYKH MUHAMMAD IBN SWALEH AL UTHAYMEEN

كتب Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ HIJABU ❝ ❞ HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ❞ HUKUMU ZA TWAHARA ❝ ❱. المزيد..

كتب Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen

كتب شبيهة بـ HII NDIYO ITIKADI YETU:

قراءة و تحميل كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF

MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF

قراءة و تحميل كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Bạn Biết G igrave Về Shi rsquo ah Shiite ndash Si ai PDF

Bạn Biết G igrave Về Shi rsquo ah Shiite ndash Si ai PDF

قراءة و تحميل كتاب Bạn Biết G igrave Về Shi rsquo ah Shiite ndash Si ai PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF

قراءة و تحميل كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Qui sont les chiites duod eacute cimains PDF

Qui sont les chiites duod eacute cimains PDF

قراءة و تحميل كتاب Qui sont les chiites duod eacute cimains PDF مجانا